#HABARi: Wananchi mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kumtambulisha Mkandarasi, ambae atatekeleza mradi kwenye vitongoji 159 vya Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa pamoja na Kilwa, mradi ambao unaenda kuwanufaisha wananchi elfu 5,116 utakaogharimu shilingi bilioni 25.8 za Tanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *