#HABARI: “Daktari Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni binadamu mwenye nyam ana hakuna mtu mzima popote pale duniani anayependa kila mara kunyooshewa kidole wakati ana masikio tumuache Daktari Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania afanya kazi aliyoapa………”-Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.