Serikali wilayani Kongwa imewapiga marufuku wakulima wa wilaya hiyo wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa chanzo cha maji Kibaigwa kwa hofu ya kuharibiwa kwa chanzo hicho hali inayoweza kuhatarisha upatikanaji wa maji katika eneo hilo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *