Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Kaloleni – Tunduma, Sinai Mwaseba amefanya mazungumzo na wauza vyakula maarufu wa mtaa wa Kaloleni, wanaojulikana kama “Mama Ntilie”, kuhusu umuhimu wa malezi bora kwa watoto.
Akiwasisitiza juu ya umuhimu wa umakini katika malezi na jinsi unavyoweza kusaidia kutambua vitendo vya kikatili vinavyoweza kutokea kwa watoto… amewasihi kuwapa watoto malezi bora yatakayowasaidia kukua kwa afya na ustawi.
#AzamTVUpdates
✍Joyce Lyanda
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)