Sio Hadithi ya kufikirika ni ndoto ya kweli
Sio Hadithi ya kufikirika ni ndoto ya kweli .. Usipange kukosa (Feed generated with FetchRSS)
Sio Hadithi ya kufikirika ni ndoto ya kweli .. Usipange kukosa (Feed generated with FetchRSS)
Fomu nzuri kutoka kwa MNYAMA, pass za uhakika, recovery, organized. pointi tatu ambazo zimeambatana na burudani. Teamwork👊 ‎ ‎Mashujaa nidhanu ya kukaba imewasaidia kiasi chake. Defending ya maana imepunguza madhara.…
Wananchi wa mitaa ya Isakalilo na Kitwiru Manispaa ya Iringa wamesema changamoto ya ukosefu wa...
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 29, 2026 - MVUA ILYOAMBATANA NA UPEPO YAEZUA NYUMBA 12 MOROGORO
Mvua kubwa zilizoambatana na upepo mkali zimeharibu nyumba 10 katika baadhi ya vijiji vya...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema Serikali imeanza mpango wa kurejesha viwanda...
Onyo kali limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kwa watendaji wa serikali na...
Katika kuhamasisha uwekezaji wa ndani, Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi...
Benki ya Absa Tanzania imezindua rasmi Ripoti ya Viashiria vya Masoko ya Fedha Afrika 2025 kwa...
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Josephat Mkama, na...
Kiungo Libase Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya...
WASHAMBULIAJI, Eliuter Mpepo wa Singida Black Stars na Adam Uledi wa Transit Camp inayoshiriki Championship msimu huu, wataanza kuonekana na uzi wa KMC, baada ya kutua hapo kwa ajili ya…
“TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji.” Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia mwenendo na matokeo yasiyoridhisha inayopata timu hiyo katika Ligi Kuu…
#MALUMBANOYAHOJA: AFCON2025 MOROCCO. TANZANIA IMEJIFUNZA NINI KUELEKEA AFCON 2027?
ALIYEKUWA beki wa TRA United, Yassin Mustafa ameanza mazoezi na Coastal Union baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akiwa mchezaji huru.
Siku moja baada ya Polisi wa Mkoa wa Arusha kutangaza kumshikilia Fredrick Mbwambo kwa tuhuma...
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has today, January 29, 2026, launched a scientific strategic programme aimed at building strong foundations in Reading, Writing, and Arithmetic (RWA) for pre-primary…
LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku akionyesha kiwango kilicholeta matumaini mapya ndani ya kikosi hicho katika…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA - JANUARI 29, 2026
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has appointed Dr. Rahma Salim Mahfoudh as Deputy Governor for Administration and Internal Control at the Bank of Tanzania (BoT), following the completion…
ZANZIBAR: THE golfing calendar in Zanzibar tees off in style this Saturday with the January Golf Challenge at the Sea Cliff Resort & Spa Golf Club in Mangapwani, Zanzibar. The…
#HABARI: Kampuni kubwa ya mafuta ya nchini India (Indian Oil Corporation Limited) imeonesha nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya usambazaji wa mafuta na gesi. Nia hiyo imebainishwa wakati…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limetoa msaada wa shilingi 816,000 kwa familia ya mtoto Imani Chakupewa ili kumwezesha kuanza masomo ya kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari…
#HABARI: Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka kipaumbele katika utunzaji wa mazingira, ikiwemo utamaduni wa kupanda miti kila tarehe 27 Januari kuadhimisha siku…
GOA: INDIAN Oil Corporation Limited has expressed interest in investing in Tanzania’s oil sector, a move expected to support economic growth and improve the supply of energy products in the…
Wakulima nchini wanatarajiwa kunufaika na matumizi ya nishati ya jua katika shughuli za kilimo, hatua inayotarajiwa kupunguza gharama za uzalishaji, kuongeza tija mashambani na kuboresha uhifadhi wa mazao, hususan katika…
DODOMA: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has officially launched training on the Integrated Domestic Revenue Administration System (IDRAS) for taxpayers in Dodoma Region, as part of its efforts to improve…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Profesa Said Mohammed amesema mtoto...
Timbila ni ala inayotengenezwa kwa ustadi mkubwa kutokana na mbao zilizosawazishwa zenye sauti mbalimbali.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Zuhura Yunus amewaasa vijana 228 wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi na amewataka kuwa mabalozi wazuri wa…
Wananchi 430 walioathiriwa na mvua iliyoambatana na upepo mkali na kuharibu baadhi ya makazi na mashamba ya mazao wameishukuru Serikali kwa kuwapatia magodoro kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa huku…
Wafanyabiashara mkoani Dodoma wameanza kunufaika na mafunzo ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) yanayolenga kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya kikodi, kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza…
Uturuki inatarajiwa kusisitiza kupinga kwake hatua ya kijeshi dhidi ya Iran huku ikishinikiza kuwepo kwa uhusiano wa kina wa kiuchumi na uratibu wa kikanda.
DAR ES SALAAM: TANZANIA Agricultural Development Bank (TADB) has disbursed loans worth 429bn/- to farmers in 2025, while successfully keeping non-performing loans under control. Addressing the media outlets in Dar…
DAR ES SALAAM: THE Kariakoo Market Corporation has set strategies to ensure they control fire emergencies in their areas, including strengthening firefighting and rescue operations. The Corporation has provided the…
Ndege elfu moja zisizo na rubani za kimkakati zimejiunga na vikosi vinne vya jeshi kwa amri ya Meja Jenerali Amir Hatami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya…
Urusi imesema kuwa miili ya askari 1,000 imepelekwa Ukraine, huku miili mingine 38 ikirudishwa Urusi.
WAKATI kesho Ijumaa Januari 30, 2026 dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa, Kocha wa Pamba Jiji, Francis Bara amesema hawana mpango wowote wa kuongeza mchezaji akiamini kikosi kilichopo kinaweza kufanya…
Wasambazaji na wazalishaji wa bidhaa za vinywaji baridi, Coca Cola, wilaya ya Moshi, mkoani...
"TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji". Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia matokeo yasiyoridhisha ya timu hiyo katika Ligi Kuu Bara.
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekosoa vitisho vya kijeshi vya mara kwa mara vya Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran, ambapo hivi karibuni alitishia Iran kwa kisingizio cha…
Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) imetenga Sh160 bilioni kuthibiti upotevu wa mazao baada ya...
#MEZAHURU"....kwa kuwa tumeshinda tuzo lukuki tuna tuzo maarufu sana hapa duniani zinaitwa World Travel Awards au tuzo za kimataifa za utaliii....tumekuwa ni nchi ambayo imetwaa tuzo pengine kuliko nchi nyingi…
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya imezindua programu maalumu kwa ajili ya utekelezaji...
Nguli wa filamu kutoka Hong Kong, Jackie Chan, amefichua kuwa amerekodi wimbo ambao utaachiwa...
Chama cha ACT-Wazalendo kimeendelea kukumbwa na pigo la kisheria baada ya Mahakama Kuu ya...
AGOSTI mwaka jana, kinda wa Kitanzania, Sabri Kondo alijiunga na BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden akitokea Singida Black Stars na alisaini mkataba wa miaka minne na nusu kuitumikia…
China imetahadharisha kwamba hatua hatari za kijeshi zinazoongozwa na Marekani dhidi ya Iran zinaweza kuyumbisha eneo la magharibi mwa Asia na kuisukuma kanda hiyo kwenye matokeo yasiyotabirika.