Tuwaelewe Simba wameamua kuanza upya
SIMBA imeshusha nyota takribani saba wa kigeni katika dirisha hili dogo la usajili huku ikifungulia milango wengine kwa kuwaondoa katika kikosi chake na baadhi bado ipo nao lakini haitowatumia hadi…
SIMBA imeshusha nyota takribani saba wa kigeni katika dirisha hili dogo la usajili huku ikifungulia milango wengine kwa kuwaondoa katika kikosi chake na baadhi bado ipo nao lakini haitowatumia hadi…
Juhudi za utafutaji na uokoaji zinaendelea kufanywa nchini Msumbiji baada ya wiki kadhaa za mvua kubwa iliyosababisha mafuriko makubwa, kuzamisha ardhi ya mashamba, kubomoa nyumba na miundombinu kujaa maji.
Serikali imetangaza kulegeza masharti ya utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana...
Milio ya risasi ilisikika mapema leo karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mkuu wa Niger, Niamey kabla ya hali ya utulivu kurejea.
Uaminifu ndio msingi wa ubashiri wenye mafanikio na kigezo muhimu ni katika kuchagua kampuni ya ubashiri. Kila mcheza kamari anataka jukwaa lililo wazi linalohakikisha malipo ya matokeo ya mikeka iliyotiki…
Zaidi ya wafanyakazi 32 waliokuwa wakifanya kazi katika kiwanda cha kuchakata majani ya chai cha Ikanga, kilichopo Tarafa ya Lupembe wilayani Njombe, wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la madai yao…
Serikali inaendelea kutekeleza mpango maalum wa kutoa elimu na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa...
🔴MEZA HURU: ...JANUARI 29, 2026
Katika wakati ambao mvutano wa kimataifa unaongezeka na hatua zisizo na tahadhari zikisababisha madhara hatari, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres leo Alhamisi ametoa wito wa kuimarishwa kwa…
Serikali ya Ethiopia, kupitia Wizara ya Afya na Taasisi ya Afya ya Umma ya Ethiopia (EPHI) kwa kushirikiana na washirika wa Mpango wa Kimataifa wa kutokomeza Polio (GPEI) na Shirika…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Misaada ya Dharura OCHA limesema zaidi ya watu 170,000 wamekimbia makazi yao kaskazini-mashariki mwa Syria tangu mwanzo mwa mwezi…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), Beth Bechdol, ameeleza umuhimu wa kilimo wakati wa migogoro kulingana na mafanikio aliyoyashuhudia wakati wa ziara yake…
Serikali imetoa rai kwa wafanyabiashara kutotumia kigezo cha uwepo wa mfungo wa kwaresma na...
Jumuiya hiyo iliiwekea Guinea vikwazo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021.
Kwa kweli, kwa miongo kadhaa watengenezaji wa magari wametegemea magari bandia kwa majaribio kupima vipimo vya miili ya wanaume, ambayo inamaanisha kuwa matokeo ya mtihani wa ajali hayaonyeshi kiwango cha…
Saa chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuufungia Uwanja wa KMC Complex, sababu...
Ujenzi wa maghorofa, hasa unaofanyika usiku bila usimamizi wa kitaalamu, pamoja na biashara ya...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 29, 2026
Rais wa Marekani Donald Trump, ameihimiza Iran kuingia katika meza ya mazungumzo na kuwa na makubaliano kuhusu silaha za nyuklia za Iran au Ishambuliwe huku Ulaya ikijipanga kuiwekea vikwazo Jamhuri…
Saa chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuufungia Uwanja wa KMC Complex, sababu mbili zimetajwa kusababisha maamuzi hayo, huku ishu ya Kibwana Shomary kubebwa na baunsa ikiwemo.
".....nilipompanga Profesa Mkenda Wizara ya Elimu alinitizama kwa jicho baya kidogo, nikamwambia Profesa unaweza nenda kasimame unaweza kama kuna watu wanakukwamisha niambie turekebishe ili twende mbele...."-Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.…
Wawekezaji na wadau wa utalii visiwani Zanzibar wametakiwa kuimarisha ushirikiano na serikali kupitia mikakati mbalimbali ya kuimarisha sekta hiyo kwa lengo la kuongeza pato la taifa. Naima Haji amehudhuria Mkutano…
Walimu wenye mahitaji maalum wa shule za msingi, sekondari na vyuo mkoani Tabora wamepatiwa vifaa visaidizi vya kidijitali kwa lengo la kuwasaidia katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Juma…
Umoja wa Ulaya unaweza kuamua Alhamisi hii kuongeza Walinzi wa Mapinduzi wa Iran (IRGC) kwenye orodha yake ya makundi ya kigaidi ili kukabiliana na ukandamizaji ” zaidi” katika historia ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 29, 2026
CAF hatimaye imechukua hatua kufuatia matukio ya vurugu yaliyotokea wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kati ya Senegal na Morocco. Miongoni mwa waliochukuliwa hatua ni kocha wa Senegal…
Pape Thiaw kocha wa Senegal amelaumiwa kwa kile CAF imekiita kutofuata utaratibu katika mchuano wa fainali ya AFCON huku Morocco ikiadhibiwa kwa kuchangia makosa mbali mbali
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya Msingi Changanyikeni wakighani Ngonjera katika uzinduzi wa mpango mkakati wa umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaofanyika Baraza la Mitihani la Taifa jijini Dar…
Kipa wa Benfica, Anatoliy Trubin, ameingia kwenye historia katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada...
Uturuki iko tayari “kuimarisha usalama kwenye mpaka wake” na Iran iwapo kutatokea shambulio la Marekani, afisa mkuu wa Uturuki ameliambia shirika la AFP leo Alhamisi Januari 29. Imechapishwa: 29/01/2026 –…
Mchezaji mmojawapo kati ya Neo Maema au Mohamed Bajaber ataonyeshwa mlango wa kutokea na Simba...
Kupitia Kamati yake ya Nidhamu CAF imetangaza adhabu kali dhidi ya timu za taifa za Morocco na Senegal kufuatia matukio yaliyotokea katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa ya…
“…..yupo Katibu Tawala wangu wa Mkoa na ambaye pia amekuwa kiongozi mzuri wa kuongoza….lakini naomba pia Wakuu wangu wa Wilaya msimame hawa ndio pia mkono wangu wa kulia kama Mheshimiwa…
Sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union juzi imeifanya KMC kuendeleza rekodi yake...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 29/01/2026 (Feed generated with FetchRSS)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuufungia Uwanja wa KMC Complex, uliopo...
#HABARI: Wakati Mkutano wa Bunge ukiendelea Mbunge wa Kisarawe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akichangia hoja kuhusu hotuba ya ufunguzi wa bunge iliyotolewa na…
#HABARI: Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalamu wa mipango miji nchini kuhakikisha utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu sheria, kanuni na…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanzisha msako aliyetengeneza video na kusambaza mtandaoni...
Uamuzi wa kuanzisha upya kinu nambari 6 huko Kashiwazaki-Kariwa, kaskazini magharibi mwa Tokyo, umefanywa licha ya wasiwasi wa usalama kutoka kwa wakazi wa eneo hilo.
Wakazi katika maeneo jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Diori Hamani wamesema kwamba ufyatuaji wa risasi umeendelea kwa takriban saa mbili kabla ya kuacha.
Mpango wa amani uliozinduliwa Davos unauweka ulimwengu mbele kwa fursa ya kipekee: kuwapa Wapalestina haki yao ya kuishi kwa heshima na uhuru — au kuhatarisha kuugeuza kuwa jaribio jingine lililofeli.
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodriguez, siku ya Jumatano, Januari 28, 2026, amewasihi wapinzani aliowaelezea kama “watu wenye msimamo mkali” “kubaki mjini Washington,” akimrejelea kiongozi wa upinzani na mshindi…
#HABARI: Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imetua kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Kimataifa wa Kotoka nchini Ghana, Mwanahabari wetu Godfrey Monyo @godfreymonyo yupo nchini Ghana…
Watu wawili wameuawa na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Isalalo, wilayani Mbozi, kwa...
Mwanamuziki wa Canada Justin Bieber, ametangazwa na Chuo cha Recording Academy kutumbuiza...
China imewanyonga watu 11 waliohusishwa na uhalifu uliopangwa nchini Myanmar leo Alhamisi, Januari 29, wakiwemo “wanachama muhimu” waliohusika katika vituo vya utapeli mtandaoni, shirika la habari la Xinhua limeripoti. Imechapishwa:…
Gavana wa Kaskazini mwa Sinai Meja Jenerali Khaled Mujawir ameiambia televisheni ya taifa Jumatano kwamba upande wa Misri wa mpaka wa Rafah umejiandaa kwa kitakachojiri.
Baada ya Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) pia imeondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Guinea siku ya Jumatano, Januari 28, 2026, kufuatia mapinduzi…
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF limeufungia uwanja wa KMC kutumika kwenye mechi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu