MKUTANO CAF: “Tutazitatua changamoto hizo”
Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe amesema kutakuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari miezi michache ijayo kwamba viwanja havipo tayari, hoteli hazipo tayari, nyasi hazipo tayari lakini yeye anaamini kuwa tutakuja kusherehekea michuano ya #AFCON2027.

Dkt. Motsepe anasema anajivunia namna Tanzania ilivyocheza kwenye fainali za #AFCON2025 nchini Morocco.

Tuko LIVE #AzamSports2HD

#CAF

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *