“Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kitanzania wanao, na Serikali haikuwaacha iliwasaidia, pia vijana wako tayari kwa ajili ya hii Bilioni 200 iliyotolewa na Serikali kwenye suala zima la ubunifu”-Shangwe Mtei – Mwenyekiti Seneti UVCCM Vyuo Vikuu Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania