Tukio la ajabu familia ikivunja jeneza na kumkalisha marehemu kabla ya mazishi
Fahamu hisia mseto kuhusu mila ya kipekee ya mazishi, watu wakielezea mawazo yao kuhusu maombolezo, desturi na tafsiri za kisasa baada ya maziko.
Fahamu hisia mseto kuhusu mila ya kipekee ya mazishi, watu wakielezea mawazo yao kuhusu maombolezo, desturi na tafsiri za kisasa baada ya maziko.
Mkutano ujao wa wakuu wa nchi na serikali wa Umoja wa Afrika utaanza Jumamosi, Februari 14, 2026, huko Addis Ababa. Mkutano huu uliandaliwa mapema na mawaziri wa mambo ya nje…
DAR ES SALAAM: THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has highlighted major achievements recorded in the first 100 days of President Samia Suluhu Hassan’s new administration following her victory in…
ADDIS ABABA: TANZANIA has welcomed the return of Sudan’s transitional government to Khartoum, hailing it as a major step toward restoring state authority and rebuilding the capital after years of…
Kasisi Victor Kanyari alishangaza waumini kwa kufichua kwamba alipokea KSh 1 milioni baada ya kifo cha mke wa zamani Betty Bayo, licha ya kwamba walikuwa wamtengana
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe, amewasili nchini asubuhi hi kwa ajili ya Mkutano wa Kamati Tendaji ya Shirikisho hilo. Mutsepe amepokelewa na Waziri…
Kati ya nchi 49 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ni nchi 4 tu pekee ambazo zimeonyesha kuwa na uwazi au uadilifu wa wastani au juu (alama zaidi ya…
KIBAHA: THE government has been praised for its efforts to collaborate with the private sector in creating employment opportunities for youths, a key strategy for implementing Tanzania’s National Development Vision…
ZANZIBAR: ZANZIBAR is intensifying support for seaweed farmers through training programmes, provision of farming equipment and initiatives to strengthen market access. Deputy Minister for Blue Economy and Fisheries, Ms Mboja…
NAIROBI: EVIDENCE from Kenyans themselves, particularly Kenyan intellectuals, indicates that economic conditions are very difficult, especially at a time when Kenyans’ attention is focused on the 2027 general elections. Unquestionably,…
Mbunge wa Lang’ata Jalang’o alionyesha imani yake ya kumshinda Edwin Sifuna katika kiti cha useneta Nairobi 2027. Jjuzi alitangaza kwamba hatawania ubunge tena.
NAIROBI – Serikali ya Kenya inaunga mkono kuahirishwa kwa mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Afrika mwaka ujao, ambapo Kenya, Uganda na Tanzania wanatarajiwa kuwa wenyeji wa mashindano hayo.…
NAIROBI – Bunge la Umoja wa Ulaya linataka uchunguzi huru na wa haraka kufanyika dhidi ya kile limetaja kuwa uhalifu wa kibinadamu unaotekelezwa na idara ya usalama na viongozi wa…
Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo maafande wa JKT Tanzania...
Wiki iliyopita mstaafu alimalizia makala yake kwa kuandika, tufupishe; akiwa na maana ya...
Soma zaidi hapa...
Mnamo Ijumaa, Februari 13, magazeti ya Kenya yaliangazia mfarakano unaozidi kuongezeka katika Chama cha ODM kufuatia uamuzi wa NEC kumtimua Katibu Mkuu Edwin Sifuna.
Kujifunza Sharia za Swaumu na hukumu zake ni wajibu kwa Muislamu, ili afunge kwa namna...
Angola, mpatanishi katika mzozo mashariki mwa DRC na bado inaongoza Umoja wa Afrika kwa siku chache, inatoa pendekezo kwa Kinshasa kusitisha mapigano na kundi la waasi la M23, kuanzia Februari…
Exim imeendelea kuonesha suluhisho za kifedha na kidijitali zinazolenga kuongeza ufanisi wa...
Mwimbaji wa nyimbo za injili Kambua na mumewe Jackson Mathu waliadhimisha siku ya kuzaliwa ya miaka mitano ya marehemu mwanao Malaki kwa heshima na sala za dhati.
Utafiti uliofanywa mwaka 2005 na Taasisi ya Taifa ya Saratani ya Marekani uliowahusisha zaidi...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani na Iran lazima zifikie makubaliano na anaamini kuwa makubaliano hayo yanawezekana ndani ya mwezi ujao.
Picha za CCTV zilifichua shambulio la kinyama la James Mwangi huko Kiambu. Mitandao iliwaka huku wito wa haki ukiongezeka kufuatia kifo chake cha kusikitisha.
Kwa Wairani wa ndani na nje ya nchi, mjadala kuhusu uhusika wa Marekani si wa kinadharia tena. Umejengwa juu ya huzuni, hofu na uchovu na hisia inayoongezeka kwamba muda huenda…
Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani, huadhimishwa siku moja kabla ya siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day.
Mama wa Kiambu Susan Wanjiru aliomba usaidizi wa kumtafuta mwanawe Joseph Kamau, ambaye alitoweka nchini Urusi baada ya kuondoka kutafuta nafasi ya kazi.
Tottenham wanaonyesha nia ya kumsajili Christian Pulisic, Paris St-Germain wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 100 kwa Carlos Baleba wa Brighton, na Newcastle United wanalenga kusajili mshambuliaji mpya dirisha la…
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena jana Alhamisi lilithibitisha kuhusu mamlaka ya kujitawala na umoja wa arfdhi nzima ya Somalia na kutupilia…
Leo ni Ijumaa 24 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 13 Februari 2026.
Wanachama wa ODM wa Kakamega wamegawanyika kuhusu uamuzi wa kumtimua Edwin Sifuna. Gavana Fernandes Barasa na MCAs wa ODM wanasoma maandishi tofauti.
Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema katika mahojiano na gazeti la Financial Times kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia…
Ikulu ya Russia ya Kremlin imethibitisha kwamba maafisa wa nchi hiyo hawana mpango wa kuhudhuria mkutano wa kwanza wa Bodi ya Amani (ya Gaza) uliopangwa kufanyika Februari 19 huko Washington.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Muhi al-Din Salem Ahmed amekariri wito wake kwa Umoja wa Afrika, akiitaka AU kufuta hatua yake ya kuisimamishia uanachama nchi hiyo ya kaskazini…
Maelfu ya raia wa Uingereza wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, uwepo wa meli za Iran katika bahari na maji ya kimataifa ni mseto wa nguvu za kijeshi…
DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (IA) katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii na kuongeza ufanisi ndani ya taasisi za umma. Naibu Katibu Mkuu,…
Mamia ya Waturuki wamejitokeza leo Alhamisi Februari 12, 2026 kwenye mazishi ya muigizaji, Kanbolat Görkem maarufu kwa uhusika wake kama Savci Bey kwenye tamthilia ya OTTOMAN, yaliyofanyika kwenye makaburi ya…
Muigizaji Kanbolat Görkem Arslan, maarufu kwa uhusika wake kama Savcı Bey kwenye tamthilia ya OTTOMAN inayoruka Jumatatu hadi Ijumaa kupitia AzamTWO, amefariki dunia Jumanne wiki hii Februari 10, 2026 akiwa…
Wakazi wa kisiwa cha Ijinga kata ya Kahangara wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameanza Ujenzi wa Shule kunusuru wanafunzi Wanyama wakali wakiwemo kiboko wanaotishia usalama wa wanafunzi Mwenyekiti wa kijiji…
Boran alitaka kuonesha umwamba wake lakini pia hakusikia alichoambiwa na Bey...Awe mzima tu 🥹 (Feed generated with FetchRSS)
"Kuna pato kubwa serikali inapoteza, kwa walio nje ya soko kwa sababu, hawana leseni inamaana hawalipii leseni, lakini kwa mujibu wa mamlaka ya mapato ni kwamba walipaswa wawe na 'tin'…
#MALUMBANO:"Wenye maduka wanaumia na wanapata hasara kubwa sana, kwa sababu meza zilizoko nje kwenye maduka, zimezidi maduka yaliyoko kwenye fremu" Hamis Omari - Mhiriki Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Kumbe ni mwanaye asiyempenda ndio aliamua kumuadhibu baba yake 😥 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
Naibu kiongozi wa chama cha ODM Godfrey Osotsi alidai kwamba Oburu Oginga alikutana na Rais William Ruto Ikulu baada ya Sifuna kunyang'anywa mamlaka ODM.