Leo Wamuthende: Korti yatupa nje kesi dhidi ya ushindi wa mbunge wa Mbeere Kaskazini
Korti Kuu ya Embu imefuta ombi dhidi ya mbunge wa Mbeere Kaskazini Leo Wamuthende, kesi sambamba na Newton Kariuki inaedelea, inazua hofu kuhusu haki ya uchaguzi.
Korti Kuu ya Embu imefuta ombi dhidi ya mbunge wa Mbeere Kaskazini Leo Wamuthende, kesi sambamba na Newton Kariuki inaedelea, inazua hofu kuhusu haki ya uchaguzi.
DODOMA: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dk Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuendelea kuimarisha uwajibikaji, matumizi sahihi ya rasilimali, mifumo ya…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Richard Kasesela ameipongeza kampuni ya Africa Media Group Limited (Channel Ten na Magic FM) kwa kuendelea kupaza sauti ya kuelimisha, kuburudisha pamoja na kuuhabarisha…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema tatizo la wanafunzi kukosa madawati na...
DODOMA: SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepunguza kwa kiwango kikubwa ada za usajili wa vyombo vya habari mtandaoni, ili kurahisisha uendeshaji wa blogu, Online TV na majukwaa ya…
🔴NINI KIFANYIKE MPANGILIO WA SOKO JIPYA KARIAKOO LIWE LA FURSA KWA WOTE? : FEBRUARI 11, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula...
Kazi haziendi kisa Shakei ameoa jamani 😅🙌 #PichaYanguSeries (Feed generated with FetchRSS)
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kuondolewa kwa misamaha ya kodi kwa bidhaa...
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Patrick Assenga, amesema yupo kwenye maandalizi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema programu za...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewaasa waumini wake na jamii kwa jumla...
Rais William Ruto alijaa hofu ya usalama wake akitoa hotuba huko Mandera wakati mwanamume mmoja alirukia jukwaa lake ghafla na kuelekea upande wake.
Kufuatia kusuasua kwa utekelezaji wa mipango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Jeshi la Polisi limemuachia huru kiongozi wa madereva wa malori, mabasi na IT–Tanzania...
Lissu, Mwenyekiti wa Chadema anakabiliwa na kesi ya uhaini inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala...
Rais William Ruto alishtuka wakati wa uzinduzi wa mradi wa NYOTA huko Wajir baada ya kijana mmoja kurukia jukwaa na kukimbia kuelekea upande wake.
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman akisema kuwa mazungumzo...
Shahidi wa nne wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
MTWARA: THE Tanzanian government said the ongoing investment of over 590bn/- in Mtwara Port and the new Mgao Island Port aims to open up and strengthen the Southern Corridor to…
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has said that Africa cannot win the fight against cancer if individual countries work in isolation. Speaking at the 30th anniversary celebrations of…
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, jijini Addis Ababa Ethiopia, leo Februari 12, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa…
DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja. Shoo…
Umoja wa Ulaya umejitolea kufanya mazungumzo jumuishi ili kutatua mgogoro unaoendelea mashariki mwa DRC. Kamishna wake wa Usimamizi wa Migogoro, Hadja Lahbib, amebainisha hili siku ya Jumanne, Februari 10, wakati…
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Likwati iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam...
Kaimu mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO) ametua mnamo Februari 12, 2026, katika Uwanja wa Ndege wa Goma, ambao ulikuwa umefungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja.…
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has blessed the 30th anniversary celebrations of the Ocean Road Cancer Institute located in Dar es Salaam today, February 12, 2026. PM…
TANGA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano mkoani Tanga kuanzia Februari 13 hadi 17, 2025 kwa lengo kukagua miradi yenye thamani ya Sh bilioni 758.1…
ALGIERS: TANZANIA is seeking opportunities to cooperate with Algeria particularly in training, and research in the fields of oil and gas and electricity. This was disclosed in a discussion between…
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Mkenya David Ouma, amesema kwa sasa timu hiyo inaenda Afrika Kusini kusaka heshima tu, katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe…
BEKI wa kushoto wa Singida Black Stars, Mghana Ibrahim Imoro, amehusika katika mabao matatu ya Ligi Kuu Bara msimu huu, huku kati ya hayo mawili nyota huyo ameyatoa dhidi ya…
Idara ya Uhamiaji wilayani Kishapu mkoani Shinyanga imetoa elimu kwa walimu na wanafunzi wa...
LICHA ya JKT Tanzania kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ikiongoza kwa pointi 27, kikosi hicho cha maafande ndio kinachoongoza kwa wachezaji wa timu hiyo kuonyeshwa kadi nyekundu,…
MONDULI: TANZANIA joined the global community in commemorating the National Climax of the International Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation (FGM), held in Monduli District, Arusha Region—one of…
DAR ES SALAAM: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifunga kiwanda cha kutengeneza zege cha JUYE Concrete Company Ltd kilichopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam, kufuatia…
Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) imeeleza mafanikio makubwa ya kisayansi yaliyochangia kuokoa...
Baada ya kifo cha babake, Joshua hivi majuzi alirejea katika nyumba aliyoijenga Kisii akiwa na umri wa miaka 20, akijifunza umuhimu wa mizizi, mali, na maana ya boma
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kutumia zaidi ya Sh38.2 bilioni kujenga miundombinu...
Kufuatia tahadhari ya wataalamu wa afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuonya ongezeko la...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Mathew Kundo, amewataka watendaji wa sekta ya maji nchini...
Vijana wa nchi za Afrika Mashariki wamehimizwa kuwa wabunifu, kutumia fursa zinazozalishwa na...
Wauzaji wa huduma za utalii 300 kutoka mataifa 20 barani Afrika na kwingineko duniani...
Babu Owino atangaza vita katika ODM kuhusu kuondolewa kwa Edwin Sifuna. Amelaani uharamu na kuwataka wanasiasa kuchagua upande wao katika mzozo unaozidi kupamba moto
Kwa kipindi kirefu, tasnia ya Bongo Fleva ilitawaliwa na sauti za wanaume, huku wanawake...
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani wanatarajiwa kunufaika na maboresho...
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa Afrika haiwezi kushinda vita dhidi ya saratani ikiwa kila nchi itafanya kazi peke yake. Amesema kuwa ili kufikia malengo ya mapambano dhidi ya…