Hii hapa ratiba ya mazishi ya Kardinali Pengo
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu...
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu...
"Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kitanzania wanao, na Serikali haikuwaacha iliwasaidia, pia vijana wako tayari kwa ajili…
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya...
AWAMU hii Namungo imekataa uteja mbele ya Singida Black Stars, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, na wenzake watatu wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Kamanda wa Polisi…
TRA United imeizamisha Fountain Gate kwa kuitandika mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu jijini Arusha.
WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari 22,2026 na kubeba heshima ya taifa.…
Katika juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas Tanzania...
Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda...
Serikali imekiri kuwa meli iliyokamatwa ikibeba tani 6.6 za cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar, lakini hakuna Mtanzania aliyekuwepo wakati inakamatwa. Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa…
Katika miezi ya hivi karibuni, ziara za viongozi wakuu wa kitaifa zimekuwa jukwaa la kusikiliza vilio vya wananchi juu ya migogoro ya ardhi, huduma za jamii, na changamoto za kiutawala.…
🔴SHILINGI BILIONI 200 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA. JE, WAMEJIPANGA VIPI KUTUMIA FURSA HIYO ...FEBRUARI 26, 2026
Wakazi wa Karema, wilayani Tanganyika na maeneo ya jirani wamejikuta kwenye adha ya usafiri baada ya kukatika kwa daraja la barabara inayoelekea Mpanda, hali inayowalazimu kutumia mtumbwi kuvuka. #AzamTVUpdates Mhariri…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ilala imefanikiwa kudhibiti kiasi cha Shilingi Bilioni 1.5 baada ya Kufanya uchambuzi wa Mfumo wa uwasilishaji wa michango ya NSSF ya…
Mkazi wa kijiji cha Imalamawazo wilaya ya Chato, amegeuka mkombozi kwa wananchi baada ya kujenga daraja la miti, kutokana na kuchoshwa kuwashuhudia wenzake wakivuka mto kwa kutembea kwenye maji. #AzamTVUpdates…
Wakati maombolezo ya kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yakiendelea, baadhi ya waamini na watu wa kada mbalimbali wameeleza…
DAR ES SAALAM: Hatimaye Basketball Africa League (BAL) imetangaza rasmi makundi mawili yatakayounda hatua ya awali ya msimu wa mwaka 2026, pamoja na ratiba ya michezo itakayofanyika katika nchi mbalimbali…
MWANZA; MKAZI wa Mtaa wa National uliopo Ngudu, wilayani Kwimba mkoani Mwanza, Joyce Emmanuel, amesema kukamilika kwa jengo la watoto njiti kwenye hospitali ya kwimba ni ukombozi kwa wananchi wa…
SIMIYU: Serikali imeitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala kuendelea kutatua changamoto zote zilizopo katika mfumo stakabadhi ghalani kwani ndiyo mfumo ambao umeonyesha mafanikio makubwa katika kumlinda Mkulima. Aidha,…
MAPUMZIKO | #NBCPL HT: Namungo FC 0-0 Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #TRAUnited #FountainGateTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
Mshambuliaji mkongwe wa Uruguay, Edinson Cavani, ametakiwa kutundika daruga baada ya kuendelea...
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 26 - 2026 - ZAIDI YA NYUMBA 700 ZAZUNGUKWA NA MAJI TURIANI.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto na vihatarishi vya...
Siku moja baada ya taarifa za ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 na mafua makali ya Influenza...
Ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, wilayani Kiteto mkoani Manyara imekuwa kaa la moto...
Kesho, Ijumaa Februari 27, 2026 waumini wa Kanisa Katoliki na Taifa kwa jumla watakuwa katika...
MSHIKEMSHIKE: Yanga, Simba tayari zimewasili Zanzibar kwa ajili ya ‘Dabi ya Kariakoo’. Timu gani unaipa nafasi kubwa ya kushinda na kwa nini?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amepata afueni ya muda baada ya Baraza la kutatua Migogoro ya Vyama vya Siasa kuzuia uamuzi wa ODM kumpokonya kiti cha Katibu Mkuu.
Yanga TV wiki hii ni balaa...... "...tutawapiga, tutawapiga, tutawapiga.....hadi mama atoke madarakani" Usikose, ni kesho Ijumaa saa 4:00 usiku #AzamSports1HD (Feed generated with FetchRSS)
Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera...
#HABARI: Zoezi la upimaji wa viwanja katika Mtaa wa Vikawe Shule, eneo la Butiama wilayani Kibaha, limeanza rasmi baada ya kumalizika kwa mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi na…
Wakili Harrison Kinyanjui anasema Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna hazuiliki kisiasa, akiwaonya wapinzani wa ODM na kukosoa kushindwa kwa utawala wa UDA.
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…
MOROGORO: The Minister for Energy, Deogratious Ndejembi, has urged the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to strengthen its plans for accurate data collection, assessment of exploration blocks, and preparation for…
Awamu ya tatu ya usafiri usafiri wa mabasi yaendayo haraka iko mbioni kuanza kati ya Gongo la...
Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob's Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Peramiho leo 26.02.2026. Akitembelea baadhi ya…
MOROGORO: THE Permanent Secretary in the Ministry of Energy in charge of Oil and Gas, Dr James Mataragio, has directed the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to accelerate preliminary exploration…
Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran, yamefanyika jijini Geneva nchini Uswiszi, kati ya wajumbe wa Marekani na Iran, wakati rais Donald Trump akitishia…
Super Metro Yaanzisha Uchunguzi Baada ya Abiria, Joseph Mureithi, Kusukumwa hadi Kufa na Kondakta Alipokuwa Akisafiri Kutoka Kitengela Kuelekea Nairobi.
Ngome ya Wanawake ya Chama cha ACT-Wazalendo imetangaza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani...
Mauaji ya raia kwenye vita vinavyoendelea nchini Sudan, yaliongezeka mara mbili mwaka 2025, ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka 2024. Imechapishwa: 26/02/2026 – 16:46 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Polisi wa Bomet wanamsaka afisa wa Busia ambaye anadaiwa kumrubuni na kumuua mkewe ambaye walikubalina wakakutane hotelini. Mkutano wao uliishia katika mauaji.
#NBCPL Haya magoli yote matano, TRA United wakizindukia Uwanja wa Black Rhino, Karatu. FT: Fountain Gate 1-4 TRA United Inafuata Namungo vs Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amebainisha mafanikio ya Kampuni ya Ndege ya ATCL, ambapo amesema kuwa hadi sasa imefanikiwa kuingiza zaidi ya dola za Marekani milioni…
Watu 25 wameuawa katika mashambulio mawili ya kijihadi katika jimbo la Adamawa, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Imechapishwa: 26/02/2026 – 16:38 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
DAR ES SALAAM: WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wameombwa kuwa wavumilivu kufuatia changamoto ya usafiri inayoendelea kulikumba eneo hilo, wakati serikali ikiendelea na jitihada za kutafuta suluhisho la…
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amekiri kupokea taarifa za kukamatwa kwa meli ya FMS Eagles yenye bendera ya Tanzania, inayodaiwa kukutwa na tani 6.6 za dawa…
Wakati ripoti ya kimataifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ikionyesha wanaume duniani...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wabunge na wakurugenzi...
#SportPesaLeague Magoli yote mawili, wakitangulia maafande kwa goli la maajabu kutoka kwa Boniface Muchiri, lakini Homeboyz wakachomoa kupitia kwa super sub, Pistone Mutamba Vunyoli, kwa header mchungulio…. FT: Ulinzi Stars…