#HABARI: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kamati yake ya kudumu Viwanda, Biashara, Kilimo limepongeza mafanikio yaliyotokana na kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo nchini iliyoanza miezi kadhaa iliyopita.

Pongezi hizo zimetolewa Machi 16,2026 na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Deodatus Mwanyika wakati wa ziara ya kamati yake Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro walikofika kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa kampeni hiyo ambapo ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa usimamizi mzuri wa kampeni hiyo kuanzia ngazi ya elimu kwa wafugaji.

Powered by #MCHEZOSUPA:

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *