Mkutano wa Injili uliokuwa ufanyike katika Manispaa ya Tabora kuanzia Alhamisi hii umezuiwa na Mkuu wa Mkoa huo, Paul Chacha kwa hofu ya viashiria vya matendo yaliyo kinyume na maadili, kutokana na zawadi mbalimbali zilizoanza kutolewa na mhubiri Dkt. Dana Morey kutoka Texas, Marekani.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)