#HABARI: Mtoto wa Hayati John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli @jesca.jmagufuli akiambatana na vijana wa UVCCM wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara Mussa Mwakitinya, wametembelea Hospital ya Wilaya Chato, Mkoani Geita kwa ajili ya kukabidhi misaada mbalimbali.

Hatua hiyo ni kuelekea Machi 17, 2026 kwenye kumbukizi ya miaka mitano ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Tano.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *