“Ni kweli sekta binafsi ndio injini ya uchumi, hii inatoa wito kwa mamlaka za Serikali, kuachana na kufanya vitu ambavyo sekta binafsi inaweza ikafanya….”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP
#Dakika45
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.