Mvutano wa kisiasa duniani umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuonya kuwa endapo nchi wanachama wa NATO hazitashiriki katika juhudi za kufungua Mlango wa Bahari wa Hormuz, zitajikuta katika hatari ya kupoteza mshikamano wake.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *