#HABARI: Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha rasta kilichopo eneo la Buguruni Sukita jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda moto huo umeanza tangu usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 17, 2026.

ITV Digital imefika katika eneo hilo na kukuta jitihada za kuuzima moto huo zikiendelea, huku baadhi ya wananchi wakiwa katika eneo hilo, ambapo moshi umeendelea kufuka.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *