“Kuna wakati aliona orodha ya viongozi waliokuwa wanakwenda nje ilikuwa kubwa sana, sitawasema ni akina nani….kwa kuwa fedha zilikuwa ni nyingi nikaona siwezi kufanya maamuzi nikasema nipate muongozo wa wakubwa wangu, aliponiita alikata kuanzia zile siku ambazo hao viongozi walikuwa wanaenda, idadi ya watu walikuwa wanafuatana kwenye safari akaniambia sasa nimekuonesha mfano.” Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *