“Hayati Dkt.Magufuli alikuwa ni mtu mkweli, lakini pia alikuwa hana utani katika mambo yake na ni mkali, alikemea maovu, wezi, wala rushwa, wabadhirifu wa mali za umma, na yule ambaye hakufuata misingi hii aliachana naye,” Mhe.Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania