#KUMBUKIZI: Leo ni Machi 17, 2026, Miaka 5 imetimia tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwenye video hii, tunamkumbuka akiwa ziarani wilayani Mbogwe mkoani Geita, akisikiliza na kutatua kero za wananchi papo hapo alama ya uongozi wake uliogusa maisha ya watu wa hali ya chini.
Hakika, alama alizoziacha katika miundombinu, nidhamu ya kazi, na uzalendo zitaendelea kuishi vizazi hadi vizazi.
Tuambie kwenye comment: Wewe unamuenzi vipi Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo? šš¾