Makamu wa Rais, Balozi Daktari Balozi, Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kufungua, madhimisho siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya upandani miti Kitaifa Machi 19, inayotarajiwa kufanyika Mkoani Lindi, ambapo inaelezwa hadi sasa kuanzia Mwezi Januari mwaka huu kupitia Kampeni hiyo miti zaidi Milioni 100 imepandwa nchini, huku Mkoa wa Lindi ukipanda miti Milioni 1.2.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *