Waombolezaji walipita kwenye mji ltakatifu wa Iraq, Najaf wakifuatilia jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa kiongozi wa juu wa kidini wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Mji wa Najaf ni eneo maalum na lenye kumbukumbu kwa waislamu wa jamii ya Shia duniani kote, ambapo inaaminika ndiko Imam Ali alizikwa, binamu na mkwe wa Mtume Mohammad.

Jeneza la Khamenei liliwasili hapo jana jioni kwenye mji huo kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa najaf, ambapo waziri mkuu Ali al-Zaidi, maofisa wa juu wa Serikali na viongozi wa kidini walishiriki sherehe ya kuupokea mwili wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *