#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafanya uchunguzi wa mauaji ya Athumani Nyanza, aliyekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shimo kando ya nyumba yake katika mtaa wa Kimya kimya, Zingiziwa.

Polisi imetoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa za siri zinazohusiana na usalama ili kusaidia kuzuia vitendo vya kihalifu na kuhakikisha watuhumiwa wa mauaji hayo wanakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *