Mwalimu Anjelina Hyera, aliyekosa ajira kwa miaka kadhaa, ameamua kujitolea kufundisha masomo ya sayansi bila malipo katika shule ya sekondari Madaba iliyopo Wilaya ya Songea vijijini – Ruvuma.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)