Wananchi wa kijiji cha Nyankanga, Halmashauri ya Wilaya ya Butiama wameiomba serikali ikamilishe haraka mradi wa maji safi na salama, kwani hawajawahi kupata huduma hiyo tangu uhuru.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *