#HABARI: Katika hali ya sintofahamu, mtu mmoja mwanamke, aliyefahamika kwa jina la Hussein Rashid Omary (23) ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro (MUM), amekutwa amefariki chumbani kwake katika Mtaa wa Mbuyuni Kata ya Kihonda Maghorofani Manispaa ya Morogoro ambapo chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa alikuwa na maradhi ya kuanguka yaani (kifafa).
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania