#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha miundombinu ya barabara inayohusiana na maandalizi ya AFCON 2027 inakamilika kwa wakati ili kufanikisha mashindano hayo ya Kimataifa.

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya uboreshaji na ujenzi wa barabara za kuelekea na kuzunguka uwanja wa AFCON 2027 jijini Arusha, Prof. Shemdoe alieleza umuhimu wa miradi hiyo katika kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *