Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambayo huadhimishwa kila mwaka na kutoa tathmini ya kina kuhusu hali ya maisha ya watu katika nchi zao pamoja na mambo yanayochochea au kuzuia furaha.
Nchini, watu wa kada mbalimbali waliozungumza na Azam News wametaja sababu mbalimbali za kukosa au kuwa na furaha, pamoja na namna ya kuitunza furaha.
AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)