Wananchi wa vijiji vya Rungwa na Mitundu vya mkoani Singida wameiomba serikali kurekebisha barabara kuu inayounganisha mkoa huo na wilaya ya Chunya mkoani Mbeya ili kurahisisha mawasiliano na shughuli za maendeleo ikiwemo biashara kati ya mikoa hiyo na maeneo ya jirani.

Deus Liganga amefuatilia hali ya barabara hiyo.

Mhariri | @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *