Safari ya maisha ya mwanadamu ni hadithi inayosisimua na kuleta mchanganyiko wa hisia na unapomuona akiwa mtu mzima au mzee basi tambua ni kweli ‘Amekwepa mishale mingi’.
Akiwa na miaka 12 ya maisha yake duniani, tayari Rose Mihayo ameanza ‘kuipanda milima na mabonde’, maradhi ya mguu yamemfanya kuwa na huzuni inayotishia kufifia kwa ndoto zake za kujitazama uzeeni.
Hebu ifuatilie simulizi hii ya Ester Sumira nawe uwe sehemu ya ‘mkono mwema’ kwa maisha ya binti mdogo aliyelazimika kuacha shule huku mama yake akitalikiwa kisa ‘mguu wa Rose’.
Mhariri | @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)