Furaha ya Fatuma Said imeongezeka zaidi baada ya nyumba yake ya nyasi iliyopo Mtaa wa Makemba, Manispaa ya Songea kuunganishiwa umeme, hatua iliyowavutia majirani kwenda nyumbani kwake kutazama televisheni na kuchaji simu.

Mbali na huduma ya umeme, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limemkabidhi jiko na kuahidi kuboresha makazi yake, hatua inayobadili maisha yake kwa kiasi kikubwa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *