YANGA SC | Beki wa Yanga, Ibrahim Hamad Abdulla kuhusu afya yake anasema kwa sasa anaendelea, na kiungo Pacome Zouzoua anawatuliza mashabiki kuhusu mwenendo wa timu yao msimu akisema kinachotokea ni hali ya kawaida kwenye soka.
Pacome pia anaeleza kukosshwa na ‘mzuka’ wa mashabiki wa soka wa Tanzania hasa kupitia mitandao ya kijamii, na anatoa neno kuelekea #AFCON2027
Hii ilikuwa ni ‘Yanga Media Day’
✍️ @amosimasokotz
#NBCPremierLeague #NBCPL #YangaSC #YangaMediaDay
(Feed generated with FetchRSS)