Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
AFRICA: THERE is something quietly devastating about watching food rot. For cocoa farmers in parts of Ghana and Ivory Coast, that is not a hypothetical, it is a reality some…
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimeiweka Urusi katika hali isiyoeleweka akini Vladimir Putin alikosoa mauaji ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei.
KAGERA: WITH its lush pastures, fertile soil, and a strategic gateway to four East African nations, the Kagera Region is positioning itself as Tanzania’s next frontier for large-scale dairy and…
IRINGA: THE Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has ordered a house-to-house search operation in the Isakalilo area to apprehend individuals involved in the murder of a 13-year-old girl. The directive…
Safari ya Eddie na Paul Ndichu kuelekea mafanikio haikuwa rahisi, bidii na imani viliwasaidia baada ya kuacha kazi kubwa na kuanza kampuni ya malipo ya kidijitali.
Paris itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa Dunia kuhusu nyuklia kwa ajili ya matumizi ya kiraia leo Jumanne, Machi 10. Miongoni mwa wakuu wa nchi wanaotarajiwa katika tukio hili…
Mzazi ndiye mlezi na mwalimu wa kwanza wa mtoto. Kabla mtoto hajaingia darasani, tayari...
Watoto watatu wachanga huko Vihiga wameachwa wakiwa mayatima kabisa baada ya baba yao, Maxwell Aduma, kufariki kwenye ajali ya barabarani iliyoua wanafunzi watatu.
TANGA: WHEN a 13-year-old girl fled her home in Tanga City recently, she carried nothing but the clothes she was wearing and a small school bag. She was not running…
MBEYA: FEW places in Africa capture the grandeur of wilderness like Ruaha National Park. With vast miombo woodlands, dramatic landscapes and one of the richest concentrations of wildlife on the…
Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imemtuhumu mfanyakazi wa shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) kwa “shughuli za uasi.” François Zamparini, ambaye anafanya kazi katika kambi ya wakimbizi…
Rais wa Kenya, William Ruto, ameongoza hafla maalumu ya kuliorodhesha shirika la mafuta la nchi hiyo KPC katika soko la hisa la Nairobi, hatua inayolenga kuvutia uwekezaji. Imechapishwa: 10/03/2026 –…
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika...
Familia moja ya Gatundu Kaskazini inaomboleza afisa wa KDF Daniel Mburu mwenye umri wa miaka 25, anayedaiwa kumuua mkewe Eunice kabla ya kujitoa uhai.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema operesheni za jeshi la nchi yake nchini Iran zitamalizika karibuni, akitoa hakikisho kwa masoko ya dunia ambayo yametetereka kutokana na mzozo unaoendelea mashariki ya…
Katika mahojiano haya maalumu, Mushi anaangazia changamoto za uongozi, misingi inayomuongoza...
NAIROBI: A STAGGERING convergence of forgery, systemic corruption, and administrative failures is eroding the retirement security of thousands of Kenyans, as revealed by recent investigations into public sector employment and…
Klabu ya Liverpool imekuwa na msimu mgumu katika Ligi Kuu England lakini katika mashindano ya...
DAR ES SALAAM: THE government has announced plans to bar procurement officers from using standard procurement procedures for projects suitable for Public-Private Partnership (PPP) arrangements. Speaking yesterday, Minister of State…
Nchini Senegal, chama tawala, PASTEF, kimeamua kuchukuwa msimamo dhidi ya muungano wa “Diomaye rais”. Wakati mzozo ukiongezeka kati ya Rais Bassirou Diomaye Faye na Waziri wake Mkuu, Ousmane Sonko, maafisa…
Dar es Salaam: Uongozi wa Mastercard leo umeitembelea ofisi za Benki ya Exim jijini Dar es Salaam leo na kuikabidhi taasisi hiyo ya fedha tuzo mbili kutokana na ufanisi wake.…
DAR ES SALAAM: EXIM Bank Tanzania has received two prestigious Mastercard awards, reflecting its strong financial performance and operational excellence and high- lighting its innovation and card portfolio growth in…
USA: US President Donald Trump has told congressional Republicans that the war with Iran could be over “pretty quickly”, as he defended the military campaign and outlined Washington’s objectives in…
DAR ES SALAAM: If wealth truly lies beneath the ground and we are certain, then perhaps the time has come for more women to pick up the metaphorical shovel. That…
DAR ES SALAAM: TANZANIA has strengthened its profile as a competitive destination for mining investment after placing 34th out of 68 jurisdictions worldwide in the Fraser Institute’s Annual Survey of…
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amejibu upuuzi na uongo wa Rais Donald Trump wa Marekani akisema: "Rais muongo wa Marekani ametoa madai ya kumaliza nguvu…
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa Kenya imesema mvua inapungua kuelekea wiki ijayo, lakini inaonya kuhusu mvua kubwa Nairobi, Ziwa Victoria, na Bonde la Ufa.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba juhudi za wale walioanzisha uchokozi dhidi ya Iran zimekuwa zikilenga kupandikiza mifarakano kati ya mataifa jirani. Amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu…
Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed amejibu kuhusu kunyang'amywa wadhifa Azimio La Umoja, huku Kalonzo Musyoka akithibitisha mabadiliko katika Bunge la Kitaifa.
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Yellow Women and TZ Green men’s team registered victories in the Tanzania Cricket Association (TCA) Trials 2026, played over the weekend at the Dar es…
Mwanamuziki Bahati alifichua matokeo ya DNA, na kuthibitisha kuwa Judith Makhokha sio mama yake mzazi, hivyo kumuacha katika mshtuko na kukata tamaa.
Mabilionea 23 Afrika wana thamani ya KSh trilioni 16.38, wakiongozwa na Aliko Dangote; soko zuri linachochea ukuaji sekta za uandaji, uchimbaji madini, na rejareja.
RUKWA: THE government will not tolerate irresponsible or unscrupulous officials who delay development projects through embezzlement, laziness, or complacency, Prime Minister Dr Mwigulu Nchemba warned yesterday. He made the remarks…
Mkimbizi kutoka Tanzania alimshangaza mkewe na kuku baada ya kumkaribisha mtoto. Mtoto huyo alikuwa wao wa kwanza pamoja baada ya miaka ya kujaribu.
Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika, Parfait...
Mkurugenzi wa matibabu Nairobi Mishael Okumu anakabiliwa na kesi mahakamani kwa madai ya kupanga kuiba KSh11 milioni kutoka kwa SHA kutumia stakabadhi feki.
Katika wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota...
Wamepita wasanii wengi wa kike wanaochana na kuitingisha tasnia ya Bongo Fleva. Kina Zay B...
Wataalamu wa masuala ya fedha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa nchi za...
DAR ES SALAAM: TANZANIA has earned international recognition for the steps it has taken to restore peace and stability following disturbances that occurred during and after the October 29, 2025…
Angalau watu 18 wamefariki katika ajali ya barabarani katika makutano ya malaha kwenye barabara kuu ya webuye-kitale, huku wengi wakijeruhiwa vibaya.
Mwanamke aliyetambulika kama Dujduan Ketsaro amevutia hisia ulimwenguni baada ya kuolewa na wanaume wawili wa Austria katika sherehe moja, familia yake ikimbariki
Huku umati wa watu wanaounga mkono utawala wa Iran ukisherehekea uteuzi wa Khamenei kama mrithi wa baba yake, wengine wanaamini kuwa hauonyeshi mabadiliko yoyote kuhusu Iran inavyotawaliwa.
Manchester City itakabiliana na Liverpool katika robo fainali ya Kombe la FA la 2026 katika kile kinachotarajiwa kuwa kufa kupona. Arsenal itacheza vs Southampton.
DAR ES SALAAM: At a time when geopolitical tensions are unsettling global financial systems, Tanzania’s capital markets are demonstrating a remarkable level of resilience. While international markets react nervously to…
ODM inakabiliwa na mgawanyiko huku wabunge wa Linda Mwananchi wakiapa kususia mkutano wa PG wa Ruto-Oburu, wakitaja ajenda 10 ambazo hazijatimizwa.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya...
Droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la FA imefanyika jana usiku, huku vigogo wa soka England...