COASTAL UNION | Baadhi ya mashabiki wa Coastal Union mkoani Tanga wamesema wamejiandaa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mbele ya mwenyeji wa mchezo huo Simba SC.
Mechi hiyo ni kesho kuanzia saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE kupitia #AzamSports1HD
Imeandaliwa na @rajjmsangi
#NBCPremierLeague #NBCPL #SimbaSC #CoastalUnion #SimbaCoastal.
(Feed generated with FetchRSS)