SIMBA SC | Baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameeleza matumaini yao kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union wakisema hamasa hiyo ni kutokana na ubora wa kikosi chao baada ya usajili wa dirisha dogo.
Imeandaliwa na @rajjmsangi
#NBCPremierLeague #NBCPL #SimbaSC #CoastalUnion #SimbaCoastal.
(Feed generated with FetchRSS)