#MzizimaDerby Prince Dube alimwaga chozi baada ya kuifunga Simba bonge la goli …. Je, unaijua hiyooo…!!!??? Itazame hii, ilikuwa Oktoba 27, 2022.

Basi ndio ujue uzito wa Dabi ya Mzizima.

Je, Aprili 5 mwaka huu, nani atamwaga chozi la aina hii???

Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia sasa Kisimbuzi chako kwa kifurushi cha shilingi 28, 000/ tu!!

#NBCPremierLeague #NBCPL #MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *