Katika kukabiliana na changamoto ya matumizi ya fedha kupita kiasi au kutumika kwenye maeneo yasiyo sahihi, wadau mbalimbali waliozungumza na Azam News wametaja njia za kumaliza tatizo hilo, ikiwemo kuwajibisha wahusika.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *