MZIZIMA DERBY: Baadhi ya mashabiki wa Simba SC na Azam FC wameendelea kutambiana kuelekea mchezo wao wa ‘Mzizima Dabi’, huku kila upande ukijiamini kuwa timu yake itaibuka na ushindi na kujinyakulia alama tatu Aprili 5 mwaka huu.

Imeandaliwa na @rajjmsangi

#MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *