#HABARI: Mkuu wa Gereza Kuu Isanga Makao Makuu ya nchi Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Magereza ACP William Makwaya, amewataka wananchi kuondokana na dhana potofu juu ya kutembelea wafungwa waliopo magerezani na badala yake waweze kuwatembelea na kuwafariji hali itakayosaidia kuondokana na matukio ya kiuhalifu yanayoweza kuepukika katika jamii.

ACP William Makwaya ametoa kauli hiyo jijini Dodoma katika Gereza Kuu la Isanga wakati akipokea msaada kutoka kwa waandishi waendesha ofisi TAPSEA Mkoa wa Dodoma ikiwa ni katika kipindi hichi cha kuelekea Sikukuu za Pasaka.

Powered by #mchezosupa

Jinsi ya kushiriki mchezo supa:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M- pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#itvdigital #itvupdates #itvtanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *