#HABARI: Kuelekea Sikukuu ya Pasaka kikundi cha wajasiriamali wadogo wa mjini Namanyere mkoani Rukwa wanaojishughulisha na utengenezaji wa samani, kwa namna ya kipekee wametembelea Hospitali ya Wilaya ya Nkasi na kutoa msaada wa bidhaa mbalimbali kwa wagonjwa na wanawake waliojifungua hospitalini hapo kama alama ya upendo na mshikamano.

Lengo kuu la kutoa msaada huo ni kuwafariji na kuwatia moyo wagonjwa ambao watashindwa kusherehekea sikukuu hiyo majumbani kwao, kutokana na changamoto za kiafya.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *