Huko nchini Thailand katika mji wa Bangkok mlimbwende Kamolwan Chanago amejikuta picha zake zikisambaa katika mitandao ya kijamii baada ya baadhi ya meno yake bandia kudondoka alipokuwa jukwaani akijinadi.
✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)