Uraibu wa kubeti ni hali ya kisaikolojia ambapo mtu anashindwa kudhibiti hamu ya kucheza kamari au kubeti, hata kama inamsababishia madhara ya kifedha, kijamii au kiafya. Katika taaluma ya afya ya akili, hali hii hujulikana kama ‘Gambling Disorder’.
@dr.shombolataifa ameketi na kufanya mazungumzo na Dkt Isack Rugemalila kuhusu Uraibu wa michezo ya kubahatisha.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)