Kuelekea Usiku wa Vitasa April 24, Jumamosi hii utafanyika utambulisho wa mabomdia watakao panda ulingoni Usiku huo wa Vitasa
Utambulisho huu utafanyika kwenye Viwanja Vya Mabibo mpakani, kuanzia saa 8:00 mchana na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
#Vitasa #Azamtvsports
(Feed generated with FetchRSS)