AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Baadhi ya wafanyakazi wa #AzamTV na wadau wengine wa michezo wamejitokeza mapema leo Aprili 11, 2026 kwenye mbio maalumu zilizopewa jina la AzamTV Fitness Club Fun Run zilizofanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#KurasaZaMwisho #AzamTVFitnessClubFunRun

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *