VIWANJANI: “kwangu Minziro sio Kocha mbaya…”- Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_akieleza namna Kocha wa Fountain Gate, Fred Minziro alivyokutana na upinzani mkubwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Aprili 15,2026 dhidi ya Simba SC na timu hiyo kupoteza kwa magoli 3-0.

Mukulu amesema kocha Minziro sio kocha mbaya ila mpinzani aliyekutana naye jana ni bora ukilinganisha na kiwango cha kikosi chake.

Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri@rajjmsangi

#viwanjanii

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *