Rais wa Marekani, Dolnard Trump na Makamu wake wamenusurika kuuawa wakiwa katika halfla ya chakula cha usiku.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika halfla hiyo ililiyofanyika State House. Hata hivyo, picha za mjongeo zilionyesha walinzi wa viongozi hao wakionekana kuchukua hatua za kuwaondoa eneo la tukio haraka viongozi hao.
(Feed generated with FetchRSS)