Wafanyabiashara wa mwambao wa Ziwa Tanganyika wameonywa kuacha kujihusisha na uuzaji wa mafuta kwa nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.
Onyo hilo limetolewa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Peter Lijualikali baada ya uwepo wa tuhuma kwa wafanyabiashara hao kuuza bidhaa hiyo.
Sammy Kisika ana taarifa zaidi.
Mhariri | @rajjmsangi
#azamtvupdatese
(Feed generated with FetchRSS)