PIN POINT: Nani amekwambia Chama hana kasi…..???????

Ni swali ambalo anauliza ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz kuhusu yale anayofanya Clatous Chota Chama hasa kwenye michuano ya Muungano Cup 2026.

Katika mchezo wa jana Aprili 26, 2026, dhidi ya Mlandege, Chama alitoa pasi mbili zilizozaa magoli.

Jumatano ni ‘Dabi ya Kariakoo’ katika mashindano ya Muungano Cup 2026.
Moto wa Chama utakuwaje…???

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#PinPoint

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *