#MuunganoCup Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, anasema wao ni timu ya mpira, na kazi yao ni kucheza mechi ya mpira, kwahiyo hawawezi kukimbia mechi ya mpira…!!

Ahmed anasema wameshukuru sana fainali kuwa wao na Yanga, maana ndicho kitu walikuwa wanakiombea…

FT: Yanga SC 2-1 Azam FC

FT: Mlandege FC 0-3 Simba SC

Fainali ni Yanga vs Simba , Aprili 29, 2026.

#MuunganoCup2026 #KomneLaMuungano SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *