Wananchi katika kijiji cha Kiwalala, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, wameeleza matumaini yao kuhusu ujio wa kiwanda cha kubangua korosho kinachojengwa katika eneo hilo, wakiamini kuwa kitaongeza thamani ya zao la korosho sokoni.

Kiwanda hicho kinachotarajiwa kukamilika mwaka 2028 kitakuwa na uwezo wa kubangua tani 50,000 za korosho kwa mwaka na kinatarajiwa kutoa ajira zaidi ya 300.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *